EXCLUSIVE: "Nimefikiria hii gari isiwe ya Luxury nataka niifanyie biashara ya Uber"

Moja ya stori ambayo ilikuwa gumzo kutoka Kanda ya Ziwa hasa katika Mkoa wa Geita ilikuwa ni kuhusu Mkurugenzi wa Shule za Sekondari za Waja Mkoa wa Geita, Eng. Chacha Wambura kutoa zawadi ya magari kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani yao hasa masomo ya Sayansi na kutajwa kwenye TOP TEN Kitaifa. Edina Meala ni mmoja wa wanafunzi hao ambaye ameshika nafasi ya Tisa Kitaifa katika matokeo ya mtihani wa Kidato cha Sita 2017, Ayo TV na millardayo.com zimempata kwenye EXCLUSIVE interview ambapo ameeleza atalitumia vipi gari lake hilo jipya.

TARGET AD 2
2017/10/11 Millard Ayo   Share on Facebook

RELATED VIDEOS

Msichana Aliyeongoza Kitaifa
Play Video

Msichana Aliyeongoza Kitaifa

2016/07/15
Boss wa shule iliyozawadia Wanafunzi Magari kaongea
Play Video

Boss wa shule iliyozawadia Wanafunzi Magari kaongea

2017/10/17
EXCLUSIVE: Mwanafunzi aliyezawadiwa gari na Shule kaongea
Play Video

EXCLUSIVE: Mwanafunzi aliyezawadiwa gari na Shule kaongea

2017/10/10
Jionee utajiri ,mali na magari yakifahari  anayomiliki Said Bakhresa..,Ni kufuru
Play Video

Jionee utajiri ,mali na magari yakifahari anayomiliki Said Bakhresa..,Ni kufuru

2017/08/09
Sio tu magari kwa Wanafunzi, BOSS wa WAJA kajengea na Walimu nyumba
Play Video

Sio tu magari kwa Wanafunzi, BOSS wa WAJA kajengea na Walimu nyumba

2017/10/20
Mwanamke mwenye ndevu alivyoombwa ndevu zake zimtajirishe mtu kishirikina
Play Video

Mwanamke mwenye ndevu alivyoombwa ndevu zake zimtajirishe mtu kishirikina

2017/10/12
Dereva Tax Mwanza aliejenga nyumba ya zaidi ya Milioni 20 na hajawahi kushika milioni 1 kwa mkupuo
Play Video

Dereva Tax Mwanza aliejenga nyumba ya zaidi ya Milioni 20 na hajawahi kushika milioni 1 kwa mkupuo

2017/11/08
EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete "nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja"
Play Video

EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete "nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja"

2017/08/22
MAGAZETI LIVE: Rais kuongoza miaka saba, Ndugai aeleza kwanini hajaenda kumuona Lissu
Play Video

MAGAZETI LIVE: Rais kuongoza miaka saba, Ndugai aeleza kwanini hajaenda kumuona Lissu

2017/12/16
"Kujibizana na Mgonjwa Lissu akiwa kitandani sio sahihi" - Spika Ndugai
Play Video

"Kujibizana na Mgonjwa Lissu akiwa kitandani sio sahihi" - Spika Ndugai

2017/12/15
Mfungwa Mtanzania gerezani China ampigia simu Millard Ayo
Play Video

Mfungwa Mtanzania gerezani China ampigia simu Millard Ayo

2016/03/25
MAAJABU?!! TUMBO LIMETOBOLEWA LAKINI ANATEMBEA
Play Video

MAAJABU?!! TUMBO LIMETOBOLEWA LAKINI ANATEMBEA

2017/06/26
UBUNIFU: Mtanzania aliyetengeneza spika zenye jina lake
Play Video

UBUNIFU: Mtanzania aliyetengeneza spika zenye jina lake

2017/10/10
SHULE YA SEKONDARI TZ ILIYOWAZAWADIA WANAFUNZI WAKE MAGARI
Play Video

SHULE YA SEKONDARI TZ ILIYOWAZAWADIA WANAFUNZI WAKE MAGARI

2017/10/08
BREAKING: Mbunge Upendo Peneza (CHADEMA) afunguka
Play Video

BREAKING: Mbunge Upendo Peneza (CHADEMA) afunguka

2017/12/15
EXCLUSIVE: Milionea Sumry hataki tena kusikia biashara ya Mabasi, katuonyesha alikojichimbia
Play Video

EXCLUSIVE: Milionea Sumry hataki tena kusikia biashara ya Mabasi, katuonyesha alikojichimbia

2017/10/24
Masanja aonyesha mjengo wake mpya Mwanza
Play Video

Masanja aonyesha mjengo wake mpya Mwanza

2017/12/14
EXCLUSIVE: Hoteli aliyojenga Mr. II SUGU Mbeya
Play Video

EXCLUSIVE: Hoteli aliyojenga Mr. II SUGU Mbeya

2017/10/14
EXCLUSIVE: Kauli ya Lowassa kuhusu Babu Seya kuachiwa
Play Video

EXCLUSIVE: Kauli ya Lowassa kuhusu Babu Seya kuachiwa

2017/12/14
Jinsi ya kupata dhahabu kwa kutumia mercury(zebaki) -Gold extraction by using mercury.
Play Video

Jinsi ya kupata dhahabu kwa kutumia mercury(zebaki) -Gold extraction by using mercury.

2017/07/23
Maamuzi ya serikali kuhusu vichwa vya treni visivyo na mwenyewe
Play Video

Maamuzi ya serikali kuhusu vichwa vya treni visivyo na mwenyewe

2017/10/13
Tamko la BASATA kuhusu kauli ya JPM juu ya video za Bongo
Play Video

Tamko la BASATA kuhusu kauli ya JPM juu ya video za Bongo

2017/12/14
WAJA MAHAFALI 10 09 17
Play Video

WAJA MAHAFALI 10 09 17

2017/09/10
HII NDIO ZAWADI NA MANENO YA RESTY ALIOMPA MCHUMBA WAKE . UTAYAPENDA TU
Play Video

HII NDIO ZAWADI NA MANENO YA RESTY ALIOMPA MCHUMBA WAKE . UTAYAPENDA TU

2017/12/15
Powered by YouTube

Disclaimer

None of the audio/visual content is hosted on this site. All media is embedded from other sites such as GoogleVideo, YouTube etc. Therefore, this site has no control over the copyright issues of the streaming media.

All issues concerning copyright violations should be aimed at the sites hosting the material. This site does not host any of the streaming media and the owner has not uploaded any of the material to the video hosting servers. Anyone can find the same content on Google Video or YouTube by themselves.

The owner of this site cannot know which documentaries are in public domain, which has been uploaded to e.g. YouTube by the owner and which has been uploaded without permission. The copyright owner must contact the source if he wants his material off the Internet completely.